Download: Vita Hii Ni Ya Bwana (The Battle Is Not Yours) – Beatrice Sosipeter.
Beatrice Sosipeter; a UK–based gospel minister, songwriter and composer; releases her latest single titled “Vita Hii Ni Ya Bwana.”
The song which is delivered in the Swahili language [a language largely spoken in the Eastern and Southern Africa] means “The Battle Is Not Yours” in the English translation.
The message captured in the song suggests that “God is every present to fight our battles when we cast all our cares upon him.”
Beatrice, who is grateful for life and family, “commits all of life to serve God.”
Lyrics: Vita Hii Ni Ya Bwana (The Battle Is Not Yours) By Beatrice Sosipeter.
Verse 1:
Ni kawaida kuwa na shida maishani, kwenye mwangaza usiogope.
Wakati mwingine unaona, mambo hayaendi, kila unachokifanya, akifanikiwi
Kama kanisani unaenda, zaka na sadaka unatoa, madikini inasaidia.
Biashara zako zimesimama, kazi umeachishwa, unajiuliza umekosea wapi?
Mungu Ee tusaidie, Ee tusaidie Baba O,
Ni kawaida kuwa na shida maishani, kwenye mwangaza usiogope.
Wakati mwingine unaona, mambo hayaendi, kila unachokifanya, akifanikiwi
Kama kanisani unaenda, zaka na sadaka unatoa, madikini inasaidia.
Biashara zako zimesimama, kazi umeachishwa, unajiuliza umekosea wapi?
Mungu Ee tusaidie Eem tusaidie Baba Ee.
Chorus:
Siyo yako, ni ya Mungu, vita hii siyo yako ni ya Mungu (2x)
Vita, siyo yako siyo ya samu na nyama ni ya Baba
Siyo yako ni ya Mungu, vita hii siyo yako ni a Mungu (2x)
Vita hii siyo yako O
Vita hii ni ya Baba
Muachie yeye apigane Ee
Peke yako hutaweza (3x)
Verse 2:
Hakuna maumivu unayoyapitia amabyo Yesr hayajui
Huzuni masikitiko unayoyaendea anayatambua yeye O